Sunday, August 5, 2012



WAKUBWA KIPINDI HIKI NILICHAGULIWA RASMI KUWA WAZIRI WA ULINZI NA CHIEF KAMANDA WA SCAUTS PUGU NZIMA YAANI SHULENI KWANGU NA SHULE ZOTE ZILIZO KUWA MAENEO YA PUGU NA CHEO HICHI NILIPEWA NA ALIYEKUWA KAMISHNA WA MKOA WA SCOUT S WA DSM MAMA FRENK ALIYEWAI KUWA AFISA ELIMU WA WILAYA YA ILALA BAADA YA KUONESHA UKAKAMAVU KWA MH.RAISI JK.ALIPO KUJA KUFUNGUA SHULE YA PUGU MWAKANGA PINDI MIMI NIKIWA NA VIJANA WANGU MAKAMANDA.


WAKUBWA PICHA HII INANIKUMBUSHA SIKU YA MATOKEO YA UENYEKITI WA UVCCM NA UMAKAMU YALIYO MTANGAZA NDG,MASAUNI KUWA M/KITI RASMI WA VIJANA TAIFA NA NDG,BENO MALISA KUWA MAKAMU M/KITI SIKU HII NILIFARIJIKA SANA KUPATA UKUMBUSHO HUU ALIYO NITUMIA MPIGA PICHA WA MH.RAISI MSTAAFU WA ZANZAB NDG.KARUME .DUU NILITOKEZEA KISHUJA 


HAPA NILIONGEZEA NA ALIYEWAI KUWA KAIMU KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA ALINAMBIA MATEFU LAZIMA NAMIMI NIPATE UKUMBUSHO NA WEWE MAANA ATUJUI FUTURE HILO NDIO NENO LAKE


Friday, August 3, 2012

News!      

NDG. ZANGU AWALI YA YOTE NAPENDA KUWA TAARIFU USIKU HUU WA LEO TAREHE 03/08/2012. NITAKUWA HEWANI KUPITIA CLOUDS TV KTK TAARIFA YA HABARI YA LEO SAA MOJA NA NUSU NA PIA NITAKUWA HEWANI KUPITIA ITV KTK TAARIFA YA HABARI YA LEO SAA 2 USIKU NAOMBA MFUATILIE KWA UMAKINI ASANTENI NYOTE MUNGU BARIKI TANZANIA ,MUNGU BARIKI JUMUIYA YANGU YA VIJANA NA CHAMA CHANGU CHA MAPINDUZI ,MWISHO MAPINDUZI DAIMA AMENI??

                   


Wednesday, August 1, 2012

HAPA NILIKUA BAGAMOYO KATIKA MNARA WA TANU MAHALI AMBAPO HAYATI MWALIMU JULIUS K NYERERE, ALIPO ITANGAZA TANU KWA MARA KWANZA MNAMO MWAKA 1954 ALIPOKUWA AKIONGEA NA WAZEE WA BAGAMOYO KUUNGA MKONO HARAKATI  ZA KUDAI  UHURU KAMA KIONGOZI WA KIZALENDO NI LAZIMA UJIFUNZE HISTORIA YA INCHI NA CHAMA MPAKA UKOMBOZI WA TAIFA LAKO NA MIMI NAJIFUNZA ILI NIWE KIONGOZI MZALENDO.


TULIKUA KATIKA  KAMBI YA UVCCM YA MSHIKAMANO KATIKA  MIKOA MIWILI YA SIKU YA 
UHURU WA NCHI KUTIMIZA MIAKA 50 YA UHURU TOKA BAGAMOYO HADI DAR ES SALAAM.R

MAMBO YA DODOMA NA HARAKATI ZA CHAMA NA JUMUIYA YETU YA UVCCM KTK BARAZA KUU LA UVCCM

WAKUBWA ZANGU NA WADOGO ZANGU KWA MARA YA KWANZA MIMI KIJANA WENU NA WATANGAZIA RASMI KUWA KILE KITENDAWILI MLICHOKUWA MKISUBILI BASI KESHO NDIO JIBU SAHIHI LA KITANDAWILI HICHO NATAMKA RASMI NAENDA KUCHUKUA FOMU YA KUOMBA RASMI JUMUIYA YANGU KUNIPENDEKEZA KUINGIA KTK KINYANG'ANYIRO CHA MCHAKATO WA KUOMBA NAFASI YA UMAKAMU M/KITI WA UVCCM TAIFA NAOMBA DUA ZENU NA SUPPORT KUTOKA KWENU NYOTE ASANTENI NA MUNGU BARIKI TANZANIA MUNGU WABARIKI WATANZANIA USUSANI VIJANA WA TANZANIA NA
AFRIKA NA MWISHO MUNGU BARIKI CHAMA CHANGU CHA        MAPINDUZI CCM HOYEEEEEE???????? SASA WAPINZANI MKAE MKAO WA KUSAMBARATIKA MMOJA BAADA YA MMOJA NAJUA MNANIJUA VIZURI ....

NIMETUNZA ILI GAZETI ILI NI WASIMULIE WAJUKU ZANGU KIPINDI KIJACHO KUWA BABU YAO NI MTU WA WATU AMBAYE NINAUZALENDO WA KWELI NINAPO FUATILIA JAMBO LENYE TIJA KWA WENGI NA HASA WALE WALIO NIPA RIDHAA YA KUWAONGOZA.

Add caption

Kiongozi wa kweli ni yule mwenye wito kwa kuwa tumikia kwa moyo wale waliompa dhamana ya yeye kuwa kiongozi hiyo ilikua ni 2008 ktk harakati za kuwatumikia wanafunzi wa Tanzania.


WAKUBWA UONGOZI NI HISTORIA ILIYO JAA HEKMA UZALENDO NA UTU SAFI WA KUIJITOA KWA KUTETEA WENGINE.