Tuesday, July 31, 2012

HAPA CHUO KIKUU(UDSM) BAADA YA KUPOKEA UGENI KUTOKA CHINA MGENI HUYO NI M/KITI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA WATU WA CHINA

      HAPA NIPO KWENYE VIKAO VYA KIDIPLOMACIA



                                                                                                                                                      USKIVU KATIKA KUJIFUNZA NI UZALENDO WA MAFANIKLI YAKO NA NCHI NA MIMI NASILIKILIZA KWA MAKINI PINDI ALIPOKUJA MAKAMU M/KITI WA CHAMA CHA CHINA HAPA NCHINI NIKIWA NA BENO MALISA




HAPA NILIKUA NAIMARISHA CHAMA UWEZI AMINI KIJANA WA MBOWE KAKOLEA SERA ZA CHAMA BAADA YA KUMMWAGIA SWAGA ZA KICHAMA CCM HOYEE??????????? SITANII NI MBOWE KWELI,


KIJANA WA MBOWE KUTOKA FAMILIA MOJA WILAYA HAI NIMEMVUA GAMBA LA BABA YAKE CHADEMA WAPINZANI SUBIRINI MUONE KAZI ME SIMNANIJUA TOKEA CHAMA CHA WANAFUNZI TZ NIKIWA KATIBU MKUU WA TASSA MAKEKE YANGU SIMNAYAJUA MTAKOMA NYINYI WENYEWE
HAPA NILIKUWA NAENDA ZANZIBAR KIPINDI CHA MAJONZI YA AJALI YA MELI