HAPA NILIKUA NAIMARISHA CHAMA UWEZI AMINI KIJANA WA MBOWE KAKOLEA SERA ZA CHAMA BAADA YA KUMMWAGIA SWAGA ZA KICHAMA CCM HOYEE??????????? SITANII NI MBOWE KWELI,
KIJANA WA MBOWE KUTOKA FAMILIA MOJA WILAYA HAI NIMEMVUA GAMBA LA BABA YAKE CHADEMA WAPINZANI SUBIRINI MUONE KAZI ME SIMNANIJUA TOKEA CHAMA CHA WANAFUNZI TZ NIKIWA KATIBU MKUU WA TASSA MAKEKE YANGU SIMNAYAJUA MTAKOMA NYINYI WENYEWE
No comments:
Post a Comment