Saturday, September 1, 2012

HISTORIA YA NDUGU AGUSTINO OSCAR MATEFU

  
ELIMU:-    MSINGI – 2003 – KAWAWA S/MSING
                   SEKONDARI- 2004 – DAR ES SALAAM SEKONDARI
                                              2007 – PUGU SEKONDARI
                   CHUO KIKUU 2010 – UDSM - SHULE YA SHERIA
                                               2011 – 2012 – CHUO CHA DIPLOMACY KURASIN (CFR)

HISTORIA YA UONGOZI:

-          2002 – NILICHAGULIWA KUWA KIONGOZI WA DARASA – MSINGI KAWAWA
-          2004 – NILICHAGULIWA KUWA KIONGOZI WA DARASA LA KIDATO CHA
KWANZA IB DAR ES SALAAM – SEKONDARI (DARSECO)
-          2005 – NILICHAGULIWA KUWA NAIBU WAZIRI WA ULINZI WA SERIKALI YA
WANAFUNZI PUGU SEKONDARI PIA NILICHAGULIWA KUWA M/KITI NA KAMANDA WA KIKUNDI CHA SKAUTI KWA UPANDE WA PUGU
-          2006 – NILICHAGULIWA TENA KUWA WAZIRI WA ULINZI WA SERIKALI
KWA KUNIPENDEKEZA KWA KAZI NZURI NILIYOIFANYA YA KUZIBITI WIZI PUGU SEKONDARI KWA UONGOZI WANGU MATHUBUTI ULIOJAA UZALENDO NDIO USHUJAA WANGU
-          2007 – 2008 – NILICHAGULIWA NA VIONGOZI KUTOKA SHULE MBALIMBALI
ZA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WANAFUNZI TANZANIA NZIMA. HII NI KWA KUTOKANA UONGOZI WANGU NA SIFA NZURI WALIZOZIPATA KUTOKA SHULENI KWANGU PUGU SEKONDARI NA PIA  NILICHAGULIWA KUWA MJUMBE WA SENETI YA TAHLISO, 2008.

HISTORI YA UONGOZI NILIZO WEKA NIKIWA SEKONDARI:

1.   NILIWEZA KUBADILISHA MAISHA YA VIJANA WENGI KWA KUBADILISHA MAISHA YAO YA TABIA MBAYA WALIZOKUWA WAKIZIFANYA NA KUFAULI MITIHANI YAO YA MWISHO MPAKA SASA WAPO VYUONI KWA JINSI UONGOZI WANGU ULIVYOKUWA MATHUBUTI.
2.      NDIYE MWANAFUNZI WA KWANZA KUPANDISHA BENDERA YA NCHI YETU KATIKA MLINGOTI MREFU PALE SHULENI PUGU MPAKA NIKATA KIFUNGIO CHA CHINI KWA HISTORIA
3.      NIKIWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WANAFUNZI TANZANIA NILIWEZA KUFANIKIWA KUWA SAIDIA WANAFUNZI WATANZIA KWA KUFIKISHA MADAI YAO YA VITABU VYA KIADA NA JUU YA KUSHAURI SERIKALI  YA TANZANIA KUTOKUBADILI MITAHALA MARA KWA MARA (SYLUBUSS) NA CULLUCULUM)
MBALI NA HIYO NILIFANIKIWA KUWA UNGANISHA WANAFUNZI WA TAASISI YA ELIMU YA JUU (TAHILISO) NA NIKACHAGULIWA KUWA MOJA YA WAJUMBE WA SENETI YA TAHLISO AMBAYO NDIO INAYOTOA MAAMUZI CHINI YA M/KITI BWANA BRUNO NG’INGO NA KATIBU MKUU BWANA JURIUS MTATIRO.
HISTORIA YANGU NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NA UVCCM.
2004 – NILIJIUNGA RASMI NA JUMUIYA YA VIJANA WA CCM NAKUPATIWA KADI
YENYE NO. 833518 KIUKWELI PINDI NIKIWA MDOGO NILIWAI KUWA CHIPUKIZI WA CCM NAPIA NILIINGIA CCM BAADAE KADI ILIPOTEA NIKAKATA UPYA MWAKA 2006.
2005 – NILICHAGULIWA KUWA MJUMBE WA K/UTEKELEZAJI
2006 – NILICHAGULIWA KUWA M/KITI WA SJINA LA UVCCM NA 20 LILOPO
KATIKA TAWI LA MATOKEO KATA YA MABIBO (W) KINONDONI MKOA DSM.
2008 – NILICHAGULIWA RASMI KUWA KATIBU WA UVCCM WA TAWI LA
            MATOKEO
-          NILICHAGULIWA KUWA MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA UVCCM MKOA WA DSM, 2010 NILIWAI KUWA MGOMBEA UDIWANI MABIBO KURA HAZIKUTOSHA CHAMA KIKANITEUA MIUNGONI MWA WALIOKUWA WAGOMBEA NANE WA KITI CHA UDIWANI KWA LENGO LA KUMPIGIA KAMPENI MGOMBEA WA CHAMA CHANGU NA KUKIOMBEA KURA ZA NDIO CHAMA CHA MAPINDUZI MPAKA KIKAPATA USHINDI MNONO,YOTE NI KWA SABABU YA UMAILI WANGU KTK KULITUMIA JUKWAA LA KISIASA.
2010 – 2012 – NILICHAGULIWA M/KITI WA TALKS FORCE YA KUPIGANIA
CHAMA KUPITIA MEDIA NA MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII – MPAKA SASA NA MPIGAVITA UFISADI KWA VITENDO NA WAZI WAZI.

MCHANGO WANGU KWA CHAMA NA JUMUIYA

2008 – MWAKA HUU WAKATI NA CHUKUA OFISI YA VIJANA KWA NGAZI YA
UKATIBU TAWI NILIWEZA KUONGEZA IDADI YA WANACHAMA WA UVCCM NA CCM KUFIKIA 100 KUTOA ILE IDADI YA AWALI WALIKUWA 25 KWA HIYO KWA JUHUDI ZANGU NA WENZANGU TULIWEZA KUINGIZA VIJANA WENGI ZAIDI KUFIKIA 120.
2010 - BAADA KUOMBA CHAMA CHANGU KINIPE RIDHAA YA KUPEPERUSHA
BENDERA YA CCM NGAZI YA UDIWANI KURA ZANGU HAZIKUTOSHA BASI CHAMA CHANGU KILINIPENDEJEZA KUWA MPIGA KAMPENI MIONGONI MWA WAGOMBEA NANE WANDANI NA MIMI NILIKUBALI BILA KINYONGO KWA KUMUOMBEA KURA MGOMBEA WETU WA UDIWANI, UBUNGE NA URAISI MPAKA MWISHO WA UCHAGUZI, CHAMA CHETU KILISHINDA NAFASI ZOTE, UDIWANI, UBUNGE NA URAISI KWA KISHINDO KIKUBWA KWA HIYO NA AMINI NINAUWEZO WA KUONGOZA NAFASI YOYOTE NDANI YA CHAMA CHETU CHA CCM.
ANWANI ZANGU NI: P.O. BOX 25069 DSM
                                      (matefu@yahoo.co.uk./Face book/onlri
                                     PHONE: 0713, 415048/0786-160586
                      


          

No comments:

Post a Comment