Saturday, October 13, 2012

HAPA NILIKUWA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA TAFRIJA YA MUUNGANO ILIYO FANYIKA TAREHE 26/04/2012 NIKIWA NA MH. MENGI.



Chama cha Tanganyika African Union (TANU) ambacho kilipigania Uhuru wa Tanganyika  
 
 
 Hawa ndio waliokuwa Viongozi na waanzilishi wa Afro Shirazi Party(ASP)

 
ENZI ZA MWALIMU NA KARUME


ENZI ZA MWALIMU

Friday, October 12, 2012

HAPA NILIKUA NIMERUDI KWETU MAHENGE KUWAKILISHA CHAMA NGAZI YA TAIFA UVCCM.



WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA CCM NEC 2007-2012 WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MWENYEKITI WA TAIFA WA CCM MH.DKT.JAKAYA M.KIKWETE, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, KULIKUA NA VIKAO VYA NEC.

UPENDO KWA VIJANA NAO WATAKUPENDA ZAIDI SINA MASHAKA NAO KWANI NIPO NAO KWA UPAMOJA ZAIDI VIPINDI VYOTE NILIPOANZA KUSOMA NIKAMALIZA NA SASA WANAHITAJI KUNITUMA NIKAWAWAKILISHE VYEMA.....DW KW

 


Vazi rasmi la vijana uvccm ni shati la kijani...




RAIS WA MARAIS WA VYUO VIKUU TANZANIA (TAHLISO)NDGU PAUL C.MAKONDA ARUDISHA FOMU YA KUGOMBEA KUTEULIWA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AKIMKABIDHI FOMU HIYO KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA MARTINE REUBEN SHIGELLA"MAKONDA ALIYASEMA HAYA ,FURSA PEKEE ILIYONAYO CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NA JUMUIYA ZAKE HILI KIENDELEE KUSHIKA DOLA NA KUTAWALA NI KWA KUPITIA UCHAGUZI HUU NDANI YA CCM KWA KUWAPATA VIONGOZI WAADILIFU,WANAYEWEZA KUWAJIBIKA KWA MASLAHI MAPANA YA WATANZANIA WOTE,MWENYE KUPINGA VIKALI RUSHWA KWA VITENDO,MWENYE MAAMUZI,MVUTO KWA JAMII".KIDUMU CCM KILA KHERIIIII MAKONDA.

Aliye kushoto ni Comrade Amosi akipokea fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti CCM wilaya ya Ilala.

Hapa tulikua katika kongamano la katiba kwa wanafunzi wa vyuo vikuu Tahliso karimjee