RAIS WA MARAIS WA VYUO VIKUU TANZANIA (TAHLISO)NDGU PAUL C.MAKONDA ARUDISHA FOMU YA KUGOMBEA KUTEULIWA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AKIMKABIDHI FOMU HIYO KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA MARTINE REUBEN SHIGELLA"MAKONDA ALIYASEMA HAYA ,FURSA PEKEE ILIYONAYO CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NA JUMUIYA ZAKE HILI KIENDELEE KUSHIKA DOLA NA KUTAWALA NI KWA KUPITIA UCHAGUZI HUU NDANI YA CCM KWA KUWAPATA VIONGOZI WAADILIFU,WANAYEWEZA KUWAJIBIKA KWA MASLAHI MAPANA YA WATANZANIA WOTE,MWENYE KUPINGA VIKALI RUSHWA KWA VITENDO,MWENYE MAAMUZI,MVUTO KWA JAMII".KIDUMU CCM KILA KHERIIIII MAKONDA.
No comments:
Post a Comment